C Changer 22 Member Joined Jul 29, 2022 Posts 11 Reaction score 5 Oct 8, 2022 #1 Leo nimetembelea hospital ya Mwananyama na kukuta foleni kubwa ya wagonjwa wakusubiri Madaktari. Kadhaa hii imekuwa ikitokea mara Kwa mara katika hospital hii. Swali ni kuwa ni kwel Kuna uhaba wa madaktari? Bado kuna upendeleo katika utoaji wa huduma katika hospital hii?
Leo nimetembelea hospital ya Mwananyama na kukuta foleni kubwa ya wagonjwa wakusubiri Madaktari. Kadhaa hii imekuwa ikitokea mara Kwa mara katika hospital hii. Swali ni kuwa ni kwel Kuna uhaba wa madaktari? Bado kuna upendeleo katika utoaji wa huduma katika hospital hii?
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Oct 8, 2022 #2 Uhaba uko tele, ni hiyo serikali wao wanatibiwa ulaya, haya ya walalahoi washenzi hayawahusu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 8, 2022 #3 Wagonjwa ni wengi kuliko madaktari...