New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,333 Reaction score 2,484 May 23, 2017 #1 Wadau habari ya asubui, nauliza kwa wataalam wa afya kwamba maziwa ni tiba au kinga ya kweli %100 kutibu magonjwa ya tokanayo na vumbi kali.. Jamii mtaan inaamin kwamba ukitoka kwenye vumbi ukinywa MAZIWA umesha tibu...
Wadau habari ya asubui, nauliza kwa wataalam wa afya kwamba maziwa ni tiba au kinga ya kweli %100 kutibu magonjwa ya tokanayo na vumbi kali.. Jamii mtaan inaamin kwamba ukitoka kwenye vumbi ukinywa MAZIWA umesha tibu...
ni ngumu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 4,292 Reaction score 7,197 May 25, 2017 #2 Si kweli...tumia limao vitunguu swaumu na asali yaan kijiko kimoja cha vitunguu swaumu,kamulia limao moja halfu punje nne za vitunguu swaumu(ponda ponda) hii ndo kiboko ya magonjwa ya vumbi,kifua,mafua
Si kweli...tumia limao vitunguu swaumu na asali yaan kijiko kimoja cha vitunguu swaumu,kamulia limao moja halfu punje nne za vitunguu swaumu(ponda ponda) hii ndo kiboko ya magonjwa ya vumbi,kifua,mafua