Ni kweli kura za ubunge Arusha mjini zinarudiwa kuhesabiwa?

  • Thread starter Thread starter FM
  • Start date Start date

FM

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2009
Posts
202
Reaction score
5
Wana Jf nimepata taarifa ambazo naweza kuziita siyo rasmi lakini ni muhimu kuzifanyia kazi, kwamba kura za ubunge Arusha mjini zinarudiwa kuhesabiwa. Mwenye taarifa kamili kuhusu suala hili aweke hadharani.
 
Jamani WATANGANYIKA ni lini TUTAAMKA?
 
Wawaalike watoto wa darasa la tatu kuhesabu.
 
kazi kweli wanarudia ambapo chadema imeshindfa tu pengine no........hii hujuma hatutaikubali hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…