ni kweli kuwa ili unyookewe na maisha?!

ni kweli kuwa ili unyookewe na maisha?!

muhandu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
311
Reaction score
83
kuna haja ya kujuana na police mmoja dr mmoja malimu mmoja manasheria mmoja trafiki mmoja yaani kila idara pia fahamu tiss mmoja bila kusahau mjeshi mmoja.wengi wamefanikiwa kupata taarifa ambayo kwa namna moja ama ingine uliokolewa kwenye hatari au kujua mambo makubwa ambayo hukutarajia.je ulisaidiwaje kwa kuafahamu hao waliotajwa?!
 
Back
Top Bottom