Ni kweli kuwa Jasko Gvadiol ndiye Beki ghali zaidi duniani kwa sasa?

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Timu ya Manchester City imemwaga mapesa kwa beki wa kawaida na kumfanya ndio awe Beki ghali zaidi Duniani.

Manchester City imemwaga [emoji387] milion 90, je, ni kweli uyu dogo anastahili hili dau?

Ikumbukwe toka dunia iumbwe hakuna beki aliyewahi kununuliwa mapesa mengi hivi.

Dogo ana mpira laini sana kwa Ligi ya Uingereza, atageuka mchomaji mkubwa pale City.

Liverpool wajilaumu wenyewe tu kwasababu ndoto ya dogo ilikuwa kucheza liverpool ila pesa zimempeleka City.
 
Msukuma kauziwa Msikiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…