Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Padri Privatus Karugendo alitoa hoja iliyonigusa. Alisema ilikuwaje Lipumba akamzidi Kikwete katika kura za Rais wa Jamhuri lakini Seif akashindwa kumzidi Shein?:angry::angry:
Naomba yeyote aliye na takwimu sahihi atusaidie kuzimwaga jamvini.
we ndo maana rushwa inakukuta na iendelee kukukuta tuu kwa kumpa kura yako huyo!inawezekana......mbona kwenye kura za URAIS kikwete kamzidi slaa na za ubunge jimbo hilohilo mbunge ni mnyika(UBUNGO)
mimi ni mmoja wao....ya RAIS nimempa KIKWETE ya UBUNGE nimempa MNYIKA
inawezekana......mbona kwenye kura za URAIS kikwete kamzidi slaa na za ubunge jimbo hilohilo mbunge ni mnyika(UBUNGO)

Mnyika aligombea ubunge, tofauti na Seif na Lipumba waliogombea urais. Kuna hoja hapo!inawezekana......mbona kwenye kura za URAIS kikwete kamzidi slaa na za ubunge jimbo hilohilo mbunge ni mnyika(UBUNGO)
mimi ni mmoja wao....ya RAIS nimempa KIKWETE ya UBUNGE nimempa MNYIKA
Mkufuatilia haya mtajiuliza mbona nec ilitangaza kuwa Dr. Slaa alipata kura 41 karatu hiyo inawezekana kweli?
inawezekana......mbona kwenye kura za URAIS kikwete kamzidi slaa na za ubunge jimbo hilohilo mbunge ni mnyika(UBUNGO)
mimi ni mmoja wao....ya RAIS nimempa KIKWETE ya UBUNGE nimempa MNYIKA
then you are stupid!!!
Padri Privatus Karugendo alitoa hoja iliyonigusa. Alisema ilikuwaje Lipumba akamzidi Kikwete katika kura za Rais wa Jamhuri lakini Seif akashindwa kumzidi Shein?:angry::angry:
Naomba yeyote aliye na takwimu sahihi atusaidie kuzimwaga jamvini.
Huu ni ushabiki wa kichama au? Nenda kwenye tume ya uchaguzi NEC, ipumba kamshinda Kikwete acha upuuzi wa kijingaSio kweli, matokeo ya Zanzibar kwa Lipumba na JK ni kama hapa chini:
Mkoa------------------JK------------ Lipumba
Kaskazini Pemba------ 8,644----------55,770
Kaskazini Unguja-------35,584 ---------5,174
Kusini Pemba-----------14,915--------- 42,303
Kusini Unguja-----------35,896--------- 6,454
Mjini Magharibi----------88,503---------49,955
Jumla-------------------183,542-------169,656
Lipumba kaongoza mikoa miwili ya Pemba wakati JK kaongoza mikoa mitatu ya Unguja. Unguja kuna watu wengi zaidi hivyo JK kupata kura nyingi zaidi.