Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Tausi...hadi wimbo wake upoNchi nyingi huwa na ndege, mnyama, mdudu, ua, mti. . . Vya taifa. Mnyama wa taifa la Tanzania anajulikana ni twiga ila hivyo vingine havijulikani au labda havipo. Katika kusearch ndege wa taifa la Tanzania nikakutana na bundi wa Usambara(Usambara Owl-Eagle) wanasema ndiyo ndege wa taifa la Tanzania. Bundi huyu anapatikana kwenye milima ya Usambara tu.
Ni kweli ndiyo ndege wa Taifa?
NB: Ni wakati wa kupata viumbe wa taifa kama hatuna. Faida yake kubwa ipo kwenye utalii.
Si kweli. Kwanza tausi hawapatikani bongo. Kuwa ndege wa raifa lazima apatikane kwenye nchi hiyo.Tausi...hadi wimbo wake upo
Ubishi huuSi kweli. Kwanza tausi hawapatikani bongo. Kuwa ndege wa raifa lazima apatikane kwenye nchi hiyo.
asee bundi ndiye ndege wa taifa?Nchi nyingi huwa na ndege, mnyama, mdudu, ua, mti. . . Vya taifa. Mnyama wa taifa la Tanzania anajulikana ni twiga ila hivyo vingine havijulikani au labda havipo. Katika kusearch ndege wa taifa la Tanzania nikakutana na bundi wa Usambara(Usambara Owl-Eagle) wanasema ndiyo ndege wa taifa la Tanzania. Bundi huyu anapatikana kwenye milima ya Usambara tu.
Ni kweli ndiyo ndege wa Taifa?
NB: Ni wakati wa kupata viumbe wa taifa kama hatuna. Faida yake kubwa ipo kwenye utalii.