vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Ako na power[emoji23][emoji23]
Hapo kwenye ^upewe^ ungesema IPEWE HURUMA TU ๐Mimi ni Mtanzania lakini ngoja nicomment kwa tonation ya wenzetu hahaha ! unajua usichezee mtu ako na power wakati huo wew unasubiri upewe huruma tu
Kuna office friend hapa amecheka hadi boss amemwandikia warning letter ๐Tangu niliposikia habari kwamba enzi za Moi ni kwamba Ruto alipewa kusimamia shughuli ya uchapishaji wa noti za fedha za Kenya nikasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Kama hiyo habari ni ya kweli basi wamwache tuuuuu
Ruto anamiliki hadi migodi Congo na SA