Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Takwimu zinaonyesha nchi yenye gesi nyingi duniani ni Urusi na ya pili Iran. Msumbiji ni ya 14 duniani na tanzania ni ya 82. Takwimu hizo zinaonyesha kuwa Rwanda na Uganda wana reserve kubwa ya gesi kuliko sisi.