Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Naunga mkono hoja, wametuzidi kwa oxymoronTakwimu zinaonyesha nchi yenye gesi nyingi duniani ni Urusi na ya pili Iran. Msumbiji ni ya 14 duniani na tanzania ni ya 82. Takwimu hizo zinaonyesha kuwa Rwanda na Uganda wana reserve kubwa ya gesi kuliko sisi.
Kikubwa ni kuanza kuzitumia sio zimekaa tuTakwimu zinaonyesha nchi yenye gesi nyingi duniani ni Urusi na ya pili Iran. Msumbiji ni ya 14 duniani na tanzania ni ya 82. Takwimu hizo zinaonyesha kuwa Rwanda na Uganda wana reserve kubwa ya gesi kuliko sisi.
Tunalishwa matumaini hewa tuone kama tumepata kitu cha maana sana, kumbe hamna kitu.
Kama ni kweli kwanini hawaichimbi na wameomba gesi kutoka kwetu isafirishwe kwa bomba, kwa nini wanunue wakati wanayo.Ni kweli Uganda na Rwanda wapo zaidi yetu, bila kuisahau congo
Nyinyi walevi wa Katiba mpya mna shida Sana...Hadi nguvu za kiume mtadai Katiba mpyaGesi ya Tanzania ingegundulika baada ya katiba mpya ingetusaidia sana na mabadiliko chanya ya mwana nchi mmoja mmoja yangeonekana.