aawapi wangu mimi ni kimbaumbau nilipojifungua nikaambiwa ntakuwa bonge lakini hadi leo niko kawaida me nahisi ni asili ya mtu tu
yaani napata moyo kusikia hivyo maana kuna watu kweli naona wananenepa kumbe ni miili yao tu.
Usiogope!!
Kuna watu nimewaona mpk akuambie kuwa ana watoto, kwa macho huwezi kuhisi
Njoo kwangu ss! Utanipenda, cjazaa navaa skert tumbo 37, unategemea nn nikizaa c ni 45??
Unene ni asili ya mtu tu, haijalishi ale kizuri au kibaya"!!