Ni kweli kuwa watu walioajiriwa katika nyadhifa moja wanaweza kuwa mishahara tofauti serikalini?

Ni kweli kuwa watu walioajiriwa katika nyadhifa moja wanaweza kuwa mishahara tofauti serikalini?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Nimeona sehemu kuwa utofauti wa mazingira ya kijijini unaweza kumuongezea mwajiriwa kigezo cha kuongezwa fedha ya mshahara. Naomba kuthibitisha kutoka kwenu.
 
Hapana. Unakumbuka Jiwe alipovamia benki kuu nakukuta Luna watu anapokea mishahara miwili mitatatu. Unakuta wanalipwa ya benki kuu na uwaziri/ ubunge
Hili liliondolewa zamani sana maana wanalipwa kwa check number,publication si rahisi. Uwezekano ni utofauti wa kiwango kutokana na kuhama na mashahara wako. Mfano,mhasibu wa TRA labda analipwa 1.5m(guess figure) akahamia Halimshauri ambalo wanalipwa laki nane,atabaki na mshahara wake wa 1.5m
 
Back
Top Bottom