Ni kweli kwamba Donald Trump ni tishio Duniani?

Ni kweli kwamba Donald Trump ni tishio Duniani?

Mzalendo92

Senior Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
177
Reaction score
5
Mgombea urais marekani Dornald Trump amekuwa akijadiliwa na baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kisiasa za kimataifa , kuwa ikiwa atashinda Africa na Dunia zi hatarini
Je, Trump n tishio kwa mambo gani ?
 
Tishio kwa Walaghai Mkuu wangu. Huyu bwana yeye hakwepeshi hapendi mambo ya kimagumashi. Ni muwazi na mkweli hana kona kona. Anakupa za uso bila kupepesa macho, anataka nyeupe iwe nyeupe na siyo blue, kazi kwao wababaishaji.
 
Back
Top Bottom