Kwanza kabisa inabidi utazame kama muda wa love play umemtosheleza, wanaume wengi tuko wabinafsi sana. Asumani akisha kasirika tu, tunaamini kuwa girls wetu wako tayari! Siyo!!!!!!!!!!!!!! Hilo ni la kwanza, pili mazingira mnayofanyia, kuna usalama, privacy ya kutosha n.k Kwa wanawake ni kitu cha muhimu sana but for men popote haa kichochoroni anaridhika tu................Tatu,Ndena pharmacy ulizia K_Y Jelly. Lakini inabidi umshirikishe mpenzi wako. Si wanawake wote wanaopenda kutumia aina hiyo ya kilainishi. Inatakiwa fikra zake ziridhike kutumia mafuta hayo.