Ni kweli kwamba Mafuta yamepatikana ziwa Eyasi?

Ni kweli kwamba Mafuta yamepatikana ziwa Eyasi?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Juzi nilisikia habari kwa TV kuwa wamefanikiwa kupata mafuto kwenye ziwa Eyasi. Imesemwa utafiti ulianza tokea mwaka 2017. Hizi habari zina uhalisia wowote? Wamepata mafuta kiasi gani?
 
Juzi nilisikia habari kwa TV kuwa wamefanikiwa kupata mafuto kwenye ziwa Eyasi. Imesemwa utafiti ulianza tokea mwaka 2017. Hizi habari zina uhalisia wowote? Wamepata mafuta kiasi gani?
Hata wangeyapata hakuna lolote iwapo katiba yetu inalinda majizi.

Nchi za kiafrika kadri zinavyokuwa na resources nyingi ndivyo ujambazi unavyoongezeka.
 
Nilitegemea kuwa huko Lithium ndio imejaa kumbe ni zutu.
 
Hata tuwe na maachimbo ya us Dola na paund chini ya CCM hakuna kitu mzee
 
Back
Top Bottom