Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Lakini inatutia doa sana kuupeleka ujinga wetu kimataifa,yaani wenzetu wanapambana kupeleka vichwa sisi tunapeleka vituko?

Aibu sana bora kama waliona hamna mwengine zaidi yake wangeuchuna tu ingekuwa siyo kesi.
Ifike hatua tukianza kumuita mtu competent hana akili na kitu tuweke na CV zetu hapa ili tulinganishe na huyo tunayemuita kituko. Tuache kudharau watu wetu.
 
Watetezi wake wameingia mitini. Mbaya zaidi ni CV hiyohiyo iliyomfikisha hapo.
Uswahili walioufanya utapelekea watanzania kuanza kuangaliwa mara mbilimbili au applications zao kuwekwa pembeni.
Wametumia mbinu za Ki-CCM kutaka ku win ile nafasi.
 
Rest in Peace professor Ngowi daah
 
Pale taasisi ya moyo ya Jakaya kikwete kuna tapeli mmoja anaitwa Prof Ny........ yule jamaa jamaa ni tapeli ana clinic zake za kitapeli morogoro.Kuna jambo alilifanya nitakuja kuliweka humu hadharani siku moja
Yule daktari wa marehemu Membe?
 
Tuwekeeni na CV ya Marehemu Ndungulile tufananishe ebu
 
Kwa hiyo post ya WHO ni shavu kuliko kuwa MD MNH pamoja na udaktari wa raia. Ila kashazeeka huyo hana akili mpya. Ana mingapi sasa?
 
Sasa mbona anatushauri shauri kila siku!
 
Mbona chimbo lako kama la kidaktari vile.
 
Wabongo wana roho mbaya sana. Kusagiana kunguni tu na chuki binafsi ndio tunaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…