Ni kweli kwamba Rwanda kuna ukabila uliokithiri na ubaguzi?

Ni kweli kwamba Rwanda kuna ukabila uliokithiri na ubaguzi?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Naambiwa kwamba Watutsi ni kundi la watu wachache sana lakini wao ndio wameshikilia vyeo vingi serikalini, jeshini, sehemu zao zinaendelezwa, n.k. huku Wahutu ambao ni karibia asilimia 85 ya nchi wana maendeleo duni na kubaguliwa kwenye vyeo, kuna ukwel?
 
Rwanda inahitajika ukombozi wa kifikra zaidi kuliko maonesho ya kijinga kama ilivyo sasa.

Kwenye mauaji ya kimbari jamii zote zilihusika wahutu waliua watsi pia watsi waliua wahutu, cha kushangaza watsi wamejiweka katika daraja la kwanza la waathirika na kujiona wenye haki kuliko wengine.

Leo hii ambaye aliona sio haki kukakaa ukimbizini akaamua kurudi kwao badala ya kuwa na fikra chanya bali nae ana ona haki kwa wengine kukaka ukimbizini (kisasi Cha kijinga).
 
Naambiwa kwamba watutsi ni kundi la watu wachache sana lakini wao ndio wameshikilia vyeo vingi serikalini, jeshini, sehemu zao zinaendelezwa, n.k. huku wahutu ambao ni karibia asilimia 85 ya nchi wana maendeleo duni na kubaguliwa kwenye vyeo, kuna ukwel ?
Kagame mshenzi tu apinduliwe
IMG_20231230_224844.jpg
IMG_20231230_225106.jpg
 
Naambiwa kwamba Watutsi ni kundi la watu wachache sana lakini wao ndio wameshikilia vyeo vingi serikalini, jeshini, sehemu zao zinaendelezwa, n.k. huku Wahutu ambao ni karibia asilimia 85 ya nchi wana maendeleo duni na kubaguliwa kwenye vyeo, kuna ukwel?
Wakiristo kwani wabaguzi? 99% ya viongozi wa Rwanda ni Wakiristo. Saasa ubaguzi umetokea wapi?

Au nakosea wadau kuuliza maswali kama haya ya msingi?
 
Back
Top Bottom