sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kagame mshenzi tu apinduliweNaambiwa kwamba watutsi ni kundi la watu wachache sana lakini wao ndio wameshikilia vyeo vingi serikalini, jeshini, sehemu zao zinaendelezwa, n.k. huku wahutu ambao ni karibia asilimia 85 ya nchi wana maendeleo duni na kubaguliwa kwenye vyeo, kuna ukwel ?
Wakiristo kwani wabaguzi? 99% ya viongozi wa Rwanda ni Wakiristo. Saasa ubaguzi umetokea wapi?Naambiwa kwamba Watutsi ni kundi la watu wachache sana lakini wao ndio wameshikilia vyeo vingi serikalini, jeshini, sehemu zao zinaendelezwa, n.k. huku Wahutu ambao ni karibia asilimia 85 ya nchi wana maendeleo duni na kubaguliwa kwenye vyeo, kuna ukwel?
Ukristo umeingiaje hapo?Wakiristo kwani wabaguzi? 99% ya viongozi wa Rwanda ni Wakiristo. Saasa ubaguzi umetokea wapi?
Au nakosea wadau kuuliza maswali kama haya ya msingi?
Unawaza kwa kutumia makalio yako?Wakiristo kwani wabaguzi? 99% ya viongozi wa Rwanda ni Wakiristo. Saasa ubaguzi umetokea wapi?
Au nakosea wadau kuuliza maswali kama haya ya msingi?
Swali. Hao wanaogombana si wakiristo watupu?Unawaza kwa kutumia makalio yako?