Bhudagala
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 325
- 311
Salaam wakuu! [emoji120]
Ni kweli kwamba simu za OPPO na LENOVO zinasumbua mtandao hapa Tanzania hata kama ni UNLOCKED?
Nikiwa kwenye mchakato wa kuzihama Tecno, pendeleo langu ni OPPO au LENOVO sasa kuna mdau kanistua kuwa hizi zinasumbua kwenye sim cards za hapa kwetu hata kama ziko UNLOCKED. Kwamba "sijui" tatizo liko kwenye "ranges za bands zake" kwa hiyo inaweza kuleta shida kwa wahudumu wa huduma za mawasiliano hapa Tanzania.
Lakini nikiangalia feedback report pale AliExpress naona wadau wa Tanzania pia wametoa positive feedback.
Siko vizuri kwenye hili eneo nisije kununua halafu ikaja kuwa mdoli. Naombeni ufafanuzi tafadhali.
Nawasilisha