kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Watu wamedis ubora wa film ya Royal tour hasa kwa namna picha zinazoonekana kwenye nyasi zilivyomweka mbali na upeo wa sura yake halisi. Wengine wanadis driving na matendo haviendani au havionyeshi reality, mixing ya issue it's like aliyefanya Hana uzoefu ni kipi kinapatikana Tz. Utalii na wanyama waliorekodiwa wamechukuliwa kwenye films nyingine zinazoonekana kwenye vituo mbalimbali ambavyo urusha matangazo ya wanyama na utalii.
Lakini pia changamoto kubwa ya uhafifu unadaiwa kutokana na speed Toka kushoot Hadi muda wakoa trailer, kwamba waandaaji awakupata muda wakutembelea vivutio vyote na awakupata muda wa kutosha kukusanya matukio ya maeneo mbalimbali na kuyaingiza kwenye film.
Mwisho, gharama ya film inaweza kuwa kubwa kuliko return hasa pale itakapotoka kipindi hiki ambacho Kuna wimbi jipya la COVID linalochangia watalii kutosafiri Kwa wingi.