Ni kweli kwamba Wamarekani Weusi hawajioni kama ni wana asili ya Afrika

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Huu uzi ni maalum kwa maswali na dukuduku yoyote yanayokutatiza na ungependa memba wengine wa hapa Jf wakupe majibu.

Mimi yangu ni hii:

Hivi kuna ukweli wowote kuwa nduguzetu wamarekani weusi (black americans) hawajihesabu kama wao ni weusi wenzetu?
 
Wanasema za kuambiwa changanya na zako, ulivyo ambiwa wewe umechanganya zako ukapata jibu gani kwenye hilo swali lako?
 
We ungekubali?
 
Black Americans wanatuona sisi waafrika ni washamba,lakini tunafanana tabia
 
Sio tu wamarekani hata wazanziber pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…