Just asking...
Ni kweli wengi wamerambwa sana na maprodyuza wao?
Ni kweli kila baada ya shoo kuna jamaa amekaa siti ya nyuma anasubiri kwenda kupiga mzigo the whole night na nyie mnashangilia sauti ya msanii husika tu jukwaani?
Je kuna JF member kishakula hata star mmoja, hebu amwagike ilikuwaje, ikaendaje...na wengine tupime probabilities!