benedictycostancia
Member
- Oct 31, 2018
- 21
- 16
jambo ambalo sja lielewa ni kukazania tanzania ya viwanda na huku tuna elimu mbovu na atuna teknolojia yeyote tunayo weza kuitumia ili tufike kweny ivo viwanda mi nnavyo fahamu tungekuwa na teknolia hii issue ya viwanda tungeweza kufika mbali kwa haraka