Ni kweli maendeleo yanaweza kuja bila elimu na teknolojia yetu wenyewe?

Joined
Oct 31, 2018
Posts
21
Reaction score
16
jambo ambalo sja lielewa ni kukazania tanzania ya viwanda na huku tuna elimu mbovu na atuna teknolojia yeyote tunayo weza kuitumia ili tufike kweny ivo viwanda mi nnavyo fahamu tungekuwa na teknolia hii issue ya viwanda tungeweza kufika mbali kwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…