Ni kweli Maguri amesajiliwa Yanga SC?

Ni kweli Maguri amesajiliwa Yanga SC?

haya magazeti jingine waliandika wamemsajili thomas ulimwengu wakati katibu wao mkuu anasema bado wanadaiwa pesa za usajili
 
Alivyotakiwa Stand utd alisema Azam na Yanga wanamhitaji akishindwana huko atakuja Stand utd nlimsikia kwa masikio yangu sababu aliwekwa kwenye Loudspeaker
 
Lwandamina akisema yes atakuja tu. Awa keep busy mabeki ili wengine wafunge!
Striker anaweza kuwa na kazi hiyo kama kuna wafungaji wengine wazuri
 
Back
Top Bottom