Ni kweli Maguri amesajiliwa Yanga SC?

BrJem

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
16
Reaction score
6
Hivi ni kweli maguri kasaini yanga au magazeti tu?
 
haya magazeti jingine waliandika wamemsajili thomas ulimwengu wakati katibu wao mkuu anasema bado wanadaiwa pesa za usajili
 
kashasaini miaka 2.. subirieni galasa lenu
 
Alivyotakiwa Stand utd alisema Azam na Yanga wanamhitaji akishindwana huko atakuja Stand utd nlimsikia kwa masikio yangu sababu aliwekwa kwenye Loudspeaker
 
Lwandamina akisema yes atakuja tu. Awa keep busy mabeki ili wengine wafunge!
Striker anaweza kuwa na kazi hiyo kama kuna wafungaji wengine wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…