Ni kweli Majeshi ya Uganda yapo Kenya?

Ni kweli Majeshi ya Uganda yapo Kenya?

Magabe Kibiti

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2008
Posts
292
Reaction score
2
Hizi habari kuwa majeshi ya Uganda yapo kenya ni ya kweli? Kama ni kweli mbona hii sasa inatisha jamani kwa amani ya ndugu zetu wa kaskazini? Kwa wale walioko Kenya tupeni habari jamani.
 
Nadhani kibaki aliona blunder aliyoifanya politically.Na hatua aliyokua anaichukua ingemuumiza zaidi kwani Wakenya na hata Jeshi la Kenya lingeona limedharauliwa na kusalitiwa.Ilikua ni matusi kwa Jeshi la Kenya na lisingekubali hata kidogo.

Museveni ni mtu mbaya sana na Mkora wa kupindukia,he's just another opportunist anayetaka kujiimarisha kisiasa katika hii Region.Na kama hatutaweza kumdhibiti atakuja kusabababisha Janga kubwa sana kwenye ukanda huu wa Afrika mashariki
 
Back
Top Bottom