Nadhani kibaki aliona blunder aliyoifanya politically.Na hatua aliyokua anaichukua ingemuumiza zaidi kwani Wakenya na hata Jeshi la Kenya lingeona limedharauliwa na kusalitiwa.Ilikua ni matusi kwa Jeshi la Kenya na lisingekubali hata kidogo.
Museveni ni mtu mbaya sana na Mkora wa kupindukia,he's just another opportunist anayetaka kujiimarisha kisiasa katika hii Region.Na kama hatutaweza kumdhibiti atakuja kusabababisha Janga kubwa sana kwenye ukanda huu wa Afrika mashariki