ni kweli maji ya bahari(chumvi) huondoa rashes,MBA, FUNGUS mwilini??

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
hi jf guys,
anayejua ukweli wa hii kitu atusaidie, kuna rafiki yangu (si daktari) ameniambia kwamba maji ya bahari yenye chumv nyingi ukiogelea yanasaidia kuondoa vipele, Mba, fungus, na rashes mbalimbali za mwili.
tujuzane wakuu
i humbly submit
 
Ni Kweli maji ya Bahari ni dawa kila maradhi wewe kama upo Dares-Salaam fanya kila mwezi uwe unakwenda kuogelea baharini hata mikosi mikosi ya mwilini mwako itakuondokea ukioga maji ya bahari yana siri kubwa sana hata waganga wa kienyeji wanayatumia maji ya bahari.
 
mkuu nipo mtwara naweza kuwa naogelea hata kila week end.
 
Back
Top Bottom