Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Nimekua nikisikia eti yale maji ya moto wanayokandwa wanawake wakitoka kujifungua huwa ni chanzo cha nyama za tumbo kukaa vibaya na pia huwa yanasababisha stretch mark kuonekana vibaya. Je mtu asipotumia hayo maji ya moto kukandwa kuna madhara yoyote kiafya?