Ni kweli maji ya moto huharibu tumbo wakati wa uzazi?

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Nimekua nikisikia eti yale maji ya moto wanayokandwa wanawake wakitoka kujifungua huwa ni chanzo cha nyama za tumbo kukaa vibaya na pia huwa yanasababisha stretch mark kuonekana vibaya. Je mtu asipotumia hayo maji ya moto kukandwa kuna madhara yoyote kiafya?
 
ktk miongozo ya ukunga hakuna maelekezo ya kukanda maji ya moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…