Asante sana real G, bado nina swali moja tuok, ok ok
mtu mwenye group A
maana yake anaweza akatoa O na A
mtu mwenye group B anaweza akatoa O na B
mtu mwenye AB anaweza akatoa B na A
mtu mwenye O anaweza akatoa O tu peke yake
sasa kwenye kuzaa mtoto
kila mzazi ana donate nusu kwa nusu
mfano baba ana group A mama ana group A pia
baba anaweza akatoa sperm yenye A au O
na mama anaweza akatoa yai lenye A au O
baba akitoa sperm A na mama akatoa yai A mtoto atakua na group A
baba akitoa sperm O na mama akatoa yai A mtoto atakua na A pia
baba akitoa O na mama akitoa O mtoto atakua O
cha muhimu hapa kujua ni kua wazazi wote wanachangia nusu kwa nusu kwenye blood group ya mtoto, na O ni wa kutawaliwa endapo ataungana na either B au A then unaaanza kuzichanganya ili kupata possible blood groups ya mtoto
so mtoto anaweza akawa na blood group tofauti na wazazi wake kutegemeana na combination iliyofanyika
blood group hazibadiliki, zipo kwenye genes kwa hiyo kubadilika kwa mtu huyo haiwezekani
hope umenielewa, kama una swali tena uliza
Kuna kitu kinachunguzwa hapa i guessss!Asante sana real G, bado nina swali moja tu
(1) baba ana A naye mama ana AB lakini wamezaa mtoto mwenye blood group O+.
naumesema hapo A hutoa A na O, AB hutoa A na B.
Kama nimekuelewa O hutoka kwa baba na mama, sasa hapa inakuaje?
hapo kama nimekuelewa unamaanisha baba ana group A na mama ana AB halafu wakatoa mtoto mwenye O+ (ambayo ni aina ya O)Asante sana real G, bado nina swali moja tu
(1) baba ana A naye mama ana AB lakini wamezaa mtoto mwenye blood group O+.
naumesema hapo A hutoa A na O, AB hutoa A na B.
Kama nimekuelewa O hutoka kwa baba na mama, sasa hapa inakuaje?
Teh teh teh,hapa tayari mtu kashauziwa mbuzi kwenye gunia.Kuna kitu kinachunguzwa hapa i guessss!
Teh teh teh,hapa tayari mtu kashauziwa mbuzi kwenye gunia.
Njia ya mkato ya DNA I GUESSSSS!Kuna kitu kinachunguzwa hapa i guessss!
Asante sana kwa maelezo haya nimekuelewa ila kuna jambo limenisononesha sana...hapo kama nimekuelewa unamaanisha baba ana group A na mama ana AB halafu wakatoa mtoto mwenye O+ (ambayo ni aina ya O)
hapa naona haiwezekani,
kwa kua baba atachanga sperm yenye A au O na mama mwenye AB atatoa yai lenye A au B so tukichanganya hapa kupata possible blood groups za mtoto tutapata A, B na AB tu, hapa naona watakua wamekosea vipimo vya blood group ya mama au mtoto, maana hata mama angechepuka kwa sababu tayari ana AB asingeweza kutoa mtoto mwenye O kamwe
Yes, as mchepuko unaweza ukawa na blood group linalofanana na mwenye mali.Njia ya mkato ya DNA I GUESSSSS!
pole sanaAsante sana kwa maelezo haya nimekuelewa ila kuna jambo limenisononesha sana...
Kuna kitu kinachunguzwa hapa i guessss!
Teh teh teh,hapa tayari mtu kashauziwa mbuzi kwenye gunia.
Hahaaaa nimejikuta nacheka peke yangu acha kuwapa pressure wenzio
HIKI NDICHO HASWA KILICHOKUWA KINAKUJA KUTOKEA...Asante sana kwa maelezo haya nimekuelewa ila kuna jambo limenisononesha sana...