Bwana cosmas seem umeshaanza kupevuka sasa,si ni muda mchache tu unalalamika wenzio kukuona kua hiyo kitu haina madhara...vije tena na criteria hizi ama ndo unapata shule? Back kwenye hoja kuu,Heading na body zinahitilafiana...Mapenzi kuleta upovu linapokuja suala la dini,Kabila & Hali ni sawa,ila uliyozungumzia seem ni matamanio rather than upendo! Upendo hauna SI unit na hutokea tu mtu kumdondokea mwingine bila kutaraji! Ukishaingia na gea ya say Makalio,Sura nyeupe/nyeusi sio mapenzi tena...maana ulishacreate kwenye ubongo na eventually hutosita kumtaka mwingine aliyemzidi uliyenaye!