yapo mapenzi ya mbali na some time hamja wahi kukutana haswa ktk maisha ,but tatizo uaminifu ,unaweza uka win au uka lost , bz hujui yule mtu akiwa mbali na macho yko nn ana kiwaza .,pengine humo kabisaa ktk roho yake na pia ktk uso wa furaha ,ana kusema kwa friend zake , pengine player,, bila shaka hujui tabia zake ,, tunafanya wengihizo mistake ,na nimeshaona madhara ya hayo watu walio patikana akina dada ,, kuna dada alitolewa bongo na man to india ,, ambaye walijua na kupitia online wakapenda na icho alicho kipata huko, balaaa,, man yko player hatari ,, then akamuacha kule kule na maisha ya india yalivyo ,, dada wa watu hakua na shilingi 5,ila watanzania walio kua pale ndio walio mpa support kurud dar -es-salaam,sasa mapenz ya mbali yapo lakin si wote wanao fanikiwa wao tunao danganywa,,