Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.
Wajumbe hao Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje inaonekana Mbowe HAWATAKI.
Inawezekana .
hao uliowataja ndio vichwa vya siasa ndani ya chadema.
Mbowe ana misimamo yake lakini hana uwezo wa kujenga siasa za mageuzi kwa awami hii ya siasa za kina JK, Makamba, Kinana na wanaófanana nao.
Mbowe hana tofauti na JK na Samia katika siasa.
Sasa utafanyaje uchaguzi katika siasa ya mirengo inayofanana?
Ni lazima sasa ifikie mahali tujenge mifumo na mirengo tofauti ya kisiasa ili wahuni na majizi yaungane bila kujali vyama na Wazalendo kama akina Lisu wawe upande mwingine.
Na kwa sasa Chadema sio mali ya mbowe bali mali ya Wanachama wote.
Hofu ya Mbowe na kundi lake ni kuona kuwa Watanzania wengi wanamuelewa Lisu zaidi na wanamkubali sana.
Dr.Slaa alikua ndiye kichwa cha siasa za Mageuzi ndani ya Chadema .
Kama Katiba mpya ni mpaka 2026 basi uchaguzi uwe 2027chini ya katiba mpya . Amani ya nchi yetu ma uhuru wa Tanganyika ni muhimu kuliko ushindi wa mtu mmoja kutoka mashariki mbali .
Kwa Sasa Lisu ni Mwana maguzi halisi .
Mbowe hakuwezi kucheza na aili za watanzanzania . Siasa za Mbowe kwa sasa hazina uelekeo mana