Pre GE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

Pre GE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani Mbowe anagombea mwaka huu? Hapana kwakweli
Sidhani kama Mbowe na CHADEMA watakuwa wajinga kiasi hicho.
Kama chama hakina mtu mwingine wa kuwa mwenyekiti basi hakina hadhi ya kushika serikali.
Maana kupitia chama hicho tunatarajia kupata wabunge,mawaziri,wakuu wa idara n,k
 
Hili jambo ni lazima lifike mwisho. Mbowe kafanya mambo mengi ndani ya CHADEMA lakini Sasa awaachie wengine.

Kama sisi wanachama wote tuliopo CHADEMA tunakosa mtu tunayeona anafaa kuchukua nafasi ya Mbowe, basi itashangaza Sana na chama chetu kitakuwa ni dhaifu Sana kioganaizesheni.

Mwenyewe alisema hagombei tena na kama akigombea Katiba ya chama haimkatazi, ila itabidi atueleze kilichomfanya abadili mawazo ni nini.

Kuna watu wanaofaidika kwa Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti na hao ndiyo hata mwaka huu wanajitayarisha na kuja na hoja ya "Mwamba tuvushe"

Alishatuvusha imetosha.
 
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.

Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.

Wajumbe hao ni Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje ambao inaonekana Mbowe HAWATAKI.
WEWE NDIO HUWATAKI ila kwa taarifa yako hao ndio CHADEMA YENYEWE
 
Hii ni vita kati ya wanaofikiri ni wana Chadema na wana Chadema wenyewe...

Wanaofikiri huiona Chadema kama chama cha siasa...

Wana Chadema wenyewe hukiona ni zaidi ya chama, ni kikundi kinachotafuta khatima ya maisha yao kisiasa...

Na hawa ndio hawataki kusikia Mbowe anazungumzwa vibaya...

Hawa watamwita Slaa msaliti au Tundu Lissu msaliti ila hawatoona baya la Mbowe...

Watamtukana yeyote anayeenda kinyume na Mbowe...

Mbowe akizungumza na Kikwete au Samia ni busara na tutamuunga mkono...

Wakimtosa akianza kulalamika tunamuunga mkono pia...

Kimsingi hawa ndio wenye Chadema.
 
Tatizo Kuna watu wameamua kutotumia akili zao kwenye kufikiri.
 
Hili sio taifa la kwenda kutembeza bakuli Korea kusinu. Dhahabu, ruby almas na hata Alexandrite zimetapakaa hadi uvunguni mwa vitanda vya watanzania.

Maziwa makubwa kama Victoria na Eyasi.

Bandari inayohudumia nusu ya bara la Africa.

Leo hii siasa za kitapeli bado zimetamalaki!

Nitaungana na Lissu soon
 
Unapoteza muda, hakuna Chadema bila Mbowe. Mbowe siyo Zitto, au Lipumba.
 
Hoja yako haitaeleweka mpaka uandike neno "mazuzu" ??

Mbowe hawataki hao watu na inasemekana anafanya jitihada na uwezeshaji wa kufanikisha adhima yake hiyo.

Uchaguzi ni zaidi ya kupiga kura.

Mbowe HAWATAKI wajumbe hao.
Inasemekana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwisho umekiri kwa kusema hawataki.
Heshima kuijenga it takes time ila kuibomoa ni rahisi sana. Achana na uchawa
 
Ukiona unaongoza taasisi halafu wewe huwataki majority ya unaowaongoza jua wewe ndio hutakiwi hapo. Mbowe ni dikteta asie andikwa
Na vp pale adui yako anapo kushauri kitu mfano CCM mnashauri Mbowe asiwe Mwenyekiti wa CDM mnakuwa mnataka nini?
 
Mbowe ana uwezo mkubwa sana kisiasa na amefanya makubwa kama mwanasiasa, lakini kuhodhi madaraka kwa muda mrefu kuna haribu jina lake zuri alilowekeza kwenye siasa za Chadema na Tanzania kwa ujumla.
Bila Mbowe CDM ijiandae kuwa kama TLP, na ndiyo kitu CCM wanataka, angalia wapiga kelele wote ni CCM
 
sasa za ndani ya Chadema, za EFF ya malema na Together for the Republic ya M.Katumbi zinafanana sana....

ni harakati za kusita sita tu, mpaka inafika mahali haieleweki wanataka nini na haijulikani wanaelekea wapi, na hatimae uchaguzi unafika wanafanya vibaya mno, kwa malumbano yasiyo isha na yasiyo na maana [emoji205]
Pole mkuu, maana naona CDM inakutesa sana japo imekupa ajira kupitia kuwa chawa wa upande mwingine.
Ila mkuu sikukuona kwenye mjadala wa marehemu kulamba teuzi badala ya nyie chawa
 
Back
Top Bottom