Pre GE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.

Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.

Wajumbe hao Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje inaonekana Mbowe HAWATAKI.
Hisia zako tu
 
Waje CCM tunawahitaji
 
Uteuzi wa kitu Gani??

Unataka kuonesha kwenye siasa kumzuia mtu ni kupiga kura tu.

Tunaposema CCM inaiba kura huwa inaibaje kura. Si huwa tunasema Magufuli alivuruga uchaguzi. Kwa ivo Magufuli alikuwa kwenye kila kwenye kila kituo cha kupiga kura!!??
It is literally irrelevant, huwezi kulinganisha chama kilichoshika dola, na vyama vya siasa vinavyojiendesha kwa mazingira ya Tanzania.
Kulinganisha uwezo wa Rais kuwepo kila sehemu ni rahisi sana ukilinganisha na hao viongozi wengine wa upinzani.
Uwezo huo anao.
Mfano kwa Dr. Magufuli ilikuwa wazi, alipowaambia wakurugenzi nikupe madaraka na gari halafu umtangaze mpinzani mshindi!!
Hapo Haikuhitaji yeye kuwepo kwenye eneo kura zinakopigiwa..
Hiyo msg tayari iliweks uwepo wake kwenye eno la uchaguzi na ndio matokeo tuliyashuhudia 2020.
 
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.

Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.

Wajumbe hao Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje inaonekana Mbowe HAWATAKI.

Hawataki kwasababu gani hasa? Naona kama ni ramli chonganishi hizi.
 
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.

Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.

Wajumbe hao Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje inaonekana Mbowe HAWATAKI.
Kama hilo ni kweli huo mvutano ndio utakuwa afya ya hicho chama. Ni makosa makubwa kwa viongozi/wanachama wote kufuata maagizo ya mtu mmoja au wachache hata kama hayana maslahi ya taasisi. Mfano ujio wa Lowassa, lile lilikuwa ni kosa kubwa la kiufundi walifanya cdm, na sababu hasa ni kukubaliana kwa Kila jambo hata kama ni hatari kwa taasisi.

Cdm kama cdm haiba yake ni chama Cha siasa Kali. Kwa hapa nchi yetu ilipofikia, misimamo mikali kutoka chama Cha upinzani ndio inayotakiwa. Lakini mambo ya maridhiano uchwara, huku anayeingia maridhiano na ww anapuza makubaliano, ni ujinga kuendelea kumbembeleza.
 
Mbowe, Mnyika, Lissu na wakongwe wengine ndani ya chama kama Msigwa ata kama sasa ni mwanachama wa kawaida inabidi wakae chini na kujipanga kwa uchaguzi wa mwakani.

Iwapo uchaguzi wa vigogo ndani ya chama umejaa malalamiko hivi, mwakani kwenye kura za maoni za kupata wabunge na madiwani watu watakatana mapanga hasa kwenye nafasi za ubunge.

Labda ndio mwanzo wa kuelekea mwisho wa CDM.
Kwa uchaguzi gani boss, huo ambao tayari idadi ya wapiga kura imeanza kuongezwa?
 
It is literally irrelevant, huwezi kulinganisha chama kilichoshika dola, na vyama vya siasa vinavyojiendesha kwa mazingira ya Tanzania.
Kwa mfumo wa CHADEMA inawezekana Kwa Mwenyekiti kuwa na nguvu hiyo.

Na mambo mengi Sana yanafuata utashi wa Mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom