Pre GE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.

Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.

Wajumbe hao ni Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje ambao inaonekana Mbowe HAWATAKI.

Tuliwaonya kuwa laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kubwa.

Baada ya miaka 3 mnayo hiyo amani mliyosema mtapata? Hamtekwi tena? Hamshindwi tena kwenye chaguzi? Watu hawakimbii chama chenu tena?

Na laana iwatafune milele nyumbu nyie
 
Huna utakatifu wa kulaani mtu...

Sasa wanaotekwa ndiyo wa kulaaniwa ama watekaji?
 
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.

Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.

Wajumbe hao ni Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje ambao inaonekana Mbowe HAWATAKI.
Sasa hivi Wenje ame compromise baada ya kulambishwa hela za Abdul.
 
Back
Top Bottom