Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
TUfanyeje sasa???Tangu jana usiku iliibuka tafrani juu ya comedian said said, kuwa alishambuliwa na mtu na Yuko hospitalini inasemekana damu zilivuja sana, watu walidhani ni kiki ila picha zimevuja na gari yake imeshambuliwa vioo, mpaka sasa hajasema chanzo ni niniView attachment 3647089View attachment 3647084
Chochote mkuuTUfanyeje sasa???
TUfanyeje sasa???
NADHANI inshu ni chuprii ngoja tutasikia tu wambea wako wanatupambania tupate chochote kituInshu ni mademu tu huyo....kamateni kina mama chanja wahojiwe
Pesa na vyeo, ndio kila kitu. Leo hii ukimuonyesha picha hiyo, anaweza kujikataa!Chanzo ni huyu;
Tatizo hata pale polisi wanapokaribia kuwakamata wahusika, basi chadema huwaficha Ili ionekane serikali haifanyi kazi. Hilo ndilo tatizo.Huyo hayupo kisiasa wanamambo Yao tu, kama si mademu, basi inshu za vibaka, kinacho nishangaza hakuna mtu ambae amechukuliwa HATUa mpaka saa hii, naye watu wanasubiri azungumze lakini ameomba apumzike kwanza sababu kashonwa nyuzi.
Shida sana mkuuTatizo hata pale polisi wanapokaribia kuwakamata wahusika, basi chadema huwaficha Ili ionekane serikali haifanyi kazi. Hilo ndilo tatizo.
Tangu jana usiku iliibuka tafrani juu ya comedian said said, kuwa alishambuliwa na mtu na Yuko hospitalini inasemekana damu zilivuja sana, watu walidhani ni kiki ila picha zimevuja na gari yake imeshambuliwa vioo, mpaka sasa hajasema chanzo ni niniView attachment 3647089View attachment 3647084
Mkuu mbona haijasemekana shida Nini, ila navo ona dogo Kuna meza kaitikisa mana hata polisi hajaendaMke wa Mutu ni SUMU