Ni kweli miaka ya nyuma ukisoma tu unakuwa umetoboa maisha?

Ni kweli miaka ya nyuma ukisoma tu unakuwa umetoboa maisha?

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Nakumbuka zamani mtu akishasoma tu huyo amepata ajira hasa akisomea afya au education yani ajira zilikua nje nje but i think wasomi wote wa zamani walikua wanapata kazi kikubwa uwe na elimu na vyeti vyako tu ajira zilikua nyingi mpaka wakaanza kuajiri na wenye vyeti feki.

Lakini HayatI Magufuli (apumzika kwa amani) alivyoingia madarakani kila kitu kiliharibika wenye biashara wengi walifunga pesa ikapotea kabisa mtaani watu wakaachishwa kazi maisha yakawa magumu sana lakini Mungu ni Mwema akatuletea Rais Samia Suluhu.

Rais Samia Suluhu ameanza kutuludisha enzi zile za kulamba asali ameanza kutoa ajira na kupitia miradi inayotekelezwa nchini Watanzania wengi wanatekeleza kwaiyo hii inapunguza ugumu wa maisha lakini pia anaenda nchi mbalimbali kwaajili ya kutafuta fursa na wawekezaji kila idara sasa imeimarika.

Hongera sana mama sasa mtaani pesa inaoneka.
 
Hilo Kweli mkuu
Kweli mzee ukiwa na ajira au biashara ugumu wa maisha unapisha kabisa maana unakua na uhakika wa kula Rais Samia Suluhu anaendelea kufanikisha kupunguza ugumu wa maisha
 
Back
Top Bottom