ni kweli mimba ni kipimo cha mapenzi ndani ya ndoa?

bryleen

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
90
Reaction score
24
habari wanajf!kweli cjui huyu wifi yangu ana matatizo au vp maana tangu aolewe ni mwaka mmoja tu umepita lakini ye anachowaza ni lini atapata mimba maana keshatuambia ana mimba karibu mara tatu halafu ikipita wiki anasema imetoka kweli keshatukera hapa kwetu ukizingatia c hata hatuna haraka na huyo mtoto anayemtaka wala hatujawah kumuuliza habari za ye kutopata mtoto zaidi ni hao shangazi na ndugu zake ndio wanaotaka mtoto.please hebu nisaidie jinsi ya kumshauri huyu wifi yangu!

Kwa nini akisema imetoka mnahisi ni anasema uongo if you real don't care?

Mwambia afanye mambo aste aste mimba inawakati wake wala asiwe na papara nayo,mtoto majaaliwa ya mwenyezi mungu so asijitie BP bure.

Tatizo huwa anasema imetoka bt 2kicalculate tarehe 2nakuta ni ile anayotakiwa kupata hedhi tena na ndio maana anatukwaza ila all in all c huwa 2namwambia avumilie mtoto ni majaaliwa sema ndo hvyo kila saa atakuja ku2eleza wanavyomsimanga tho 2namwambia aachane nao.

Mwambia afanye mambo aste aste mimba inawakati wake wala asiwe na papara nayo,mtoto majaaliwa ya mwenyezi mungu so asijitie BP bure.

yani ndo kila 2nachomuimbia kila siku tatizo ni mgumu wa kuelewa mpk keshaenda hospital kuchokonolewa eti wanapima mirija na keshaambiwa iko vizuri ila ndo hvyo kila m2 anamwambia mimba imetoka yani hadi mama na dady hapa huwa wanajua hapa ndo anapotukera.

Mna kazi kweli!

Hiyo topic na wifi yenu huwa inaanzaje maana ni mambo ya binafsi mno ukizingatia ndoa ni changa bado na hamjamshinikiza kupata mtoto.

Nashauri mjiepushe na mazungumzo yanayopelekea kujadili yanayojiri ndani ya faragha ya kaka na wifi yenu.

Tatizo lake anatuchukulia kama agement wake wakati anatuzidi 4 years ila ni mropokaji kupita maelezo afu 2nakaa karibu ndio maana anapata muda wa kukaa na sisi na ku2ambia hii mada ndugu yangu tho huwa 2nachukia na wakati mwingne akiwa anaingia 2natafuta shughuli ya kufanya ili 2 asianze maneno.

Mambo mengine jamani muwe mnayapima kama yanaqualify kuwekwa humu jamvini.

kwani hili haliqualify rafiki wat i nid ni ushauri ili nimpe huyu wifi yangu nathng more kaka

Kwenye RED
inavyoonekana mmekosa cha kufanya.

Kweli mnakazi nzito, hadi mna calculate hedhi za wifi yenu, kweli nyie ndio wale mawifi hatar, mwambie atulie tu mimba itakuja yenywe

natamani mngenielewa ndugu zanguni cdhani kama angekuwa anatulia kwake na kutotushirikisha mambo yake yasiyo ya msingi c 2ngeanza yote hayo coz anachotaka kw2 ck zote ni 2jue huwa anabeba mimba ila zinatoka na 2nachofanya ni kumuask tarehe zake za mwisho ni zipi na mwisho wa cku anakuja ona tarehe aloingia mp ni ambyo alitakiwa aingie tena so celewi c kosa le2 hapo ni lipi waungwana maana 2nachojtahd ni kumfanya arelax na huyo mtoto atakuja tu jamani.

Huyu dada hatanii anaomba ushauri ndio kaona vichwa vipo hapa.

mungu aniepushe na mawifi,nataka mume wangu mtarajiwa kwao awe amezaliwa peke yake au madume tupu lol

Akasikilize Mgumba Part II ya Muumini Mwinjuma

Bryleen:
Why dont you pple let her know exactly how you feel, instead of discussing her behind her back?E.g. Wifi, ni mara ya tatu sasa unatupa habari ya ujauzito, but eventually end up loosing it, sisi hatupendelei and blah blah blah,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Side Note:
Natoa wito kwa wanawake wa jf, muache habari za kuhangaika and kujipendekeza kwa mawifi , maana most of the time nothing good comes out of it , i.e As you can see some of them may end up getting into your personal space and issues like in this case:angry:!!!!!!!!!!!

U beter take her to counsellor.atamshauri vzr na atatulia.nadhan ana tatizo la kisaikolojia.pia afanye followup ni kwa nini znatoka,i.e aonane na wataalam.ktk kuta2a hli ni bora mumshirikishe na kaka yenu.inawezekana kaka yenu ana mpa presure ya mtoto bt nyinyi hamjui.kama ushauri haujakufaa,UPOTEZEE!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…