Tetesi: Ni kweli mishahara itachelewa mwezi huu?

Tetesi: Ni kweli mishahara itachelewa mwezi huu?

mtanzania10

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
271
Reaction score
81
mshahara was mwezi huu kwa watumishi was serikali na hadi tarehe ,3/8/2026 taarifa hizi nimezipata toka kwa afisa utumishi wa halmashauri niliyopo
 
Ngoja ninunue Unga na maharage ya akiba roho inaenda mbio
 
Mishahara tayr,,,angalia kwa nmb mobile[emoji1]
 
Kama umetoka semeni Ukweli ili na sisi wa Nguriati tujongee MASWA NMB KUFYONZA POSHO
 
Watu wabishi nimecheki hapa naona pesa imejaa kwenye akaunti.
 
Back
Top Bottom