Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Nakiri sikuangalia mkutano wa CCM lakini naambiwa eti Benja (wa Awamu ya Tatu) aliteleza ulimi mkutanoni na kusema Kikwete...'tumnyime kura' na wala hakujisdahihisha. Waliosikia au wenye clip watuwekee hapa.