Zak Malang JF-Expert Member Joined Dec 30, 2008 Posts 5,404 Reaction score 239 Oct 30, 2010 #1 Nakiri sikuangalia mkutano wa CCM lakini naambiwa eti Benja (wa Awamu ya Tatu) aliteleza ulimi mkutanoni na kusema Kikwete...'tumnyime kura' na wala hakujisdahihisha. Waliosikia au wenye clip watuwekee hapa.
Nakiri sikuangalia mkutano wa CCM lakini naambiwa eti Benja (wa Awamu ya Tatu) aliteleza ulimi mkutanoni na kusema Kikwete...'tumnyime kura' na wala hakujisdahihisha. Waliosikia au wenye clip watuwekee hapa.
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,503 Reaction score 20,892 Oct 30, 2010 #2 Zak, are you serious au untaka kukuza genge?
mbogodume Member Joined Oct 30, 2010 Posts 43 Reaction score 2 Oct 30, 2010 #3 Kakuambia nani? mwambie huyo aliyekuambia akupe CLIP.
Jethro JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 2,219 Reaction score 371 Oct 30, 2010 #4 Duuh Mbona itakuwa ni hatari jamani
tzjamani JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 995 Reaction score 31 Oct 30, 2010 #5 Duh kama kweli hiyo noma
Mzito Kabwela JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 18,887 Reaction score 7,673 Oct 30, 2010 #6 Porojo tu hizo! Ndo nimefika Idodomya kutwanga kura yangu nirejee kesho mchana. Vijana nilioongea nao wamesema wameamua kuuangusha Mbuyu kesho! Inshaalah Mungu atuamshe salama
Porojo tu hizo! Ndo nimefika Idodomya kutwanga kura yangu nirejee kesho mchana. Vijana nilioongea nao wamesema wameamua kuuangusha Mbuyu kesho! Inshaalah Mungu atuamshe salama
Caroline Danzi JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 3,713 Reaction score 1,265 Oct 30, 2010 #7 ni porojo, hakuna kitu kama hicho, nafikiri hakuelewa statement za Ben.
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Oct 30, 2010 #8 hapa ni jukwaa la utani bila shaka unawakiliza utani wako
pirate JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 718 Reaction score 703 Oct 30, 2010 #9 duuuh ebwana hata mm nliskia hivyooooo hivyoooooooo:smile-big: