Ni kweli mnasema Uhuru niliowaachieni hamna tena?

Mnuka maziwa Polepole anakwambia Uhuru tunaoutaka hata mbinguni haupo.
 
Mnuka maziwa Polepole anakwambia Uhuru tunaoutaka hata mbinguni haupo.
Sasa we huyo chakubanga umemuona ana akili sawasawa?Mtu akishakuwa na utapiamlo wa ubongo ndio basi tena.Tegemeeni ujinga tu toka kwake
 
Kuna uhuru ambao hatukuwanao wakati wa NYERERE tulifanikiwa kuupata kwa KIKWETE tu. UHURU WA KUTOA MAONI HATA KAMA HAYAZINGATIWI ILA TULIKUWA NAO. Tofauti na sasa. Nyerere kuna viongozi alikosana nao sababu ya kutoa maoni yao hasa baada ya vita ya Kagera. Na ndivyo ilivyo sasa watu hawako
huru wananchi wa kaiwada mpaka viongozi wastaafu. Mtu akitoa maoni basi yawe ya kupongeza yakiwa ya kukosoa basi unawashwawashwa. NDIO MAANA HATA KWENYE KIKAO WATU HAWAKUWA HURU KABISA labda ni Makinda ndio alijarubu kidogo. Ila SUMAYE usema kweli ALITIA HURUMA KABISA. (huu ni mtazamo wangu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…