Ni kweli muungano ulifanyika miezi 3 na week 2 tu baada ya mapinduzi ya Zanzibar?

Ni kweli muungano ulifanyika miezi 3 na week 2 tu baada ya mapinduzi ya Zanzibar?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Habari zenu Wanajumuiya ya JF.

Baada ya salamu zangu kwenu ni swali ambalo huwa najiuliza kila siku je nikweli baada ya mapinduzi ya zanzibar ya 12 JAN 1964 na 26 April 1964 TUKAPATA Muungano.???

Kwa hesabu za haraka haraka hapa ni kwamba zanzibar ilidumu na serikali yake kwa miezi 3 na week 2 tu na ndipo ikaamua kuungana na Tanganyika kupata TANZANIA???

Nisaidieni jamani Wale mliobobea kwenye nyanja hizi......
 
Ilikuwa lazima yafanyike mapinduzi(mavamizi)ili nyerere kuupa nguvu mfumo kristo kutawala zanzibr,ilikuwa ni ngumu kuupeleka mfumo kristo kwa serekali ya jamhuri ya watu wa waz'br iliyopata uhuru tarehe 10-12-63 kutoka kwa muingereza,mapinduzi na muungano ni ndugu.
 
Back
Top Bottom