Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

Madalali wapo mpaka kwenye ulozi na wanalipwa posho nono
 


Kwanini tuwe na wagonjwa, watu wanaokufa, Maskini?

Wakiamua wawaombee wote, tuwazidi USA.
 
Ni hatari tupu...

Baada ya kuombewa hakwenda kupima?
we acha Kaka, jamaa alikuwa anakula dozi na mwili uli-recovery vizuri na gym akawa anafanya mazoezi,

Sindio akajichanganya kwenda huko sijui kuombewa kwa Mwamposa, halafu nasikia ukitumia dozi ukienda kupima virusi Havionekani,

Jamaa akaacha ARV, alipata na ukichaa then akafa,story ni ndefu
 
Kama hata hilo hujui basi kaa na ukimwi wako endelea kula njugu mengine waachie wanaoelewa
Punguza ukali wa maneno.

Sina UKIMWI.

Nauliza suala la kiroho.

Inawezekana kweli mtu akaombewa na Mwamposa na kupona VVU?

Kama ni kweli,watu wangekuwa wanateseka na ARVs?
 
Kiukweli hili jambo haliniingii akilini.

UKIMWI?
Maana yake Hata Corona anaweza kuponya??
 
Stahili ya wachungaji imeua watu wengi sana, mtu anaacha dozi ugonjwa ukirudi unakuwa na kasi mpaka hatua ya kupoteza uhai wa mtu.

Nina mama yangu mdogo alikufaga 2001,yy alikuwa na tatizo la kichwa, madaktari waka mchunguza wakasema huyu kwa vidonge tatizo lake linaisha, imeenda kweli baada ya kutumia vile vidonge hali ilibadilika kabisa na kuanza kuwa vizuri. Akaja mdogo wake kamdanganya kampeleka kwenye makanisa haya ya kilokole,vidonge akaacha kutumia, tatizo likarudi tena na kuwa kubwa zaidi mpaka akapoteza maisha.

Halafu baada ya kufa yuleyule aliye mpeleka kwenye makanisa ya kilokole akadai wamemloga dada yak,kumbe hajui upuuzi wake ndio uliomuua dada yake.

Hatukatai miujiza ipo ila miujiza mingine inafanyika kupitia watu waliopewa vipawa na Mungu (Madaktari).Uzuri madaktari kama jambo wakiliona kwamba hili si la kawaida, wanakushauri uende upande mwengine (makanisani kwa waganga nk),mf kuna mtu na mjua mdogo wake alikuwa chizi ghafla akapelekwa Muhimbili, wakamchunguza yule Daktari bingwa wa magonjwa ya akili akamwambia kaka yake kwamba hakuona tatizo kwa mdogo wake akajaribu kwa watu wa tiba za asili na kweli ndani ya miezi sita yule jamaa akapona.

Kuna mwingine ana Ukimwi kadanganywa na hawa wachungaji kaacha vidonge,mwaka juzi kapigwa stroke kapooza upande mmoja.
 
Achana na utapeli wa huyu mtu wewe, endelea na ARvs zako utakufa kifo sio chako!
 
Mtume mwamposa 🤣🤣🤣,wakristo bhana eti mtume mara nabii

Kuna mtu mmoja anajiita Hamza akajifanya yeye ni nabii baada ya Muhammad (s.a.w),waislamu walimkataaa mchana kweupe sijamsikia tena yule bwana Hamza

Anyway,haya mambo kwa wakristo ni kawaida tu,wana nabii wao anaitwa SHILA 🤣🤣🤣 analijua BATA vibaya mno 🤣🤣🤣
 
Alikufa baada ya muda gani toka alipoacha dozi
 
Nafikiri ww ndiyo ungetupa mjeresho kama ni kweli maana nasikia upo jirani naye!
 
Ngoja nilambe totos Kwa speed ya 4G.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho, ona mapepo tangu uhuru mpaka sasa miaka 60 yanakemewa.na bado yapo yana randa randa kwa wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…