erasto eyp
New Member
- Mar 11, 2020
- 2
- 1
Ndugu wana jamvi mimi ni muhitim wa olevel mwaka huu nilitaka nipige comb ya cbg ili badae nije nisome coz ya laboratory technician sasa kuna mtu ameniambia Kwa sasa mwanafunzi aliesomea cbg awez kuapply coz za afya ispokuwa environmental health, hiv ni kweli? Kama ni kweli naweza kuapply coz gan tofaut na hzo za afya naomben mnisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app