Ni kweli mwanaume akishikwa na ngiri sio rijali?

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,071
Reaction score
1,361
Jana nilikuwa napiga story kijiweni na wazee flani hivi hapa kitaa wanasema eti mwanaume asiposhikwa na ngiri siyo rijali?

Kuna ukweli au na mawazo yao.

Naomba wana JF mnambie kama ni ukweli au laa!
 
Hao wazee lazima watakuwa ni wazee flani amaizing..........aisee.....
 
Kwa hiyo ukajihisi wewe sio Rijali
 
Mbona umeogopa sana?? Hujawahi kuumwa ngiri nini kwahiyo unaogopa huenda ukawa sio rijali?? Hizo ni story za wazee bhana achana nazo.
 
Hivi na joto hili la Dar unaanzaje kuumwa ngiri? Labda kwa maeneo ya Iringa au Moshi hiyo ni kawaida sana
 
Wacha kujitetea kama hujawahi kuumwa jua ndo hivyo tena

Hahahahaaa nishaumwa sana ngiri, kule kwetu kuna baridi sana, mbaya zaidi kuna siku nimeshikwa ba ngiri huku nikiwa nafanya mtihani wa Taifa form2😉
 
Jamani muwe mnajadili mada kisomi inapotupiwa humu, ngiri anaweza ugua mtu yeyote uwe mbeya, iringa, Arusha, kilimanjaro ama dar, tanga na hata kilwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…