Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Haha. Si ndio. Hawa Ol' timers wanatafuta mbinu za kutumaliza kisaikolojia, ili tuwaachie kina Khantwe. Nimeshtuka.Ouwh kumbee... hii misamiati mingine imepita pemben, inaeza kufanya ukajifkilia mara mbil mbili
Haha. Si ndio. Hawa Ol' timers wanatafuta mbinu za kutumaliza kisaikolojia, ili tuwaachie kina Khantwe. Nimeshtuka.Ouwh kumbee... hii misamiati mingine imepita pemben, inaeza kufanya ukajifkilia mara mbil mbili
Nishaumwa sana. Bed sheets zangu za high school zina ramani za kutosha za ngiri. Nishatumia sana barafu asubuhi kupoza makali ya ngiri-wood. I'm safe.We kama hujaumwa ngiri ndo basi tena!
Haha. Si ndio. Hawa Ol' timers wanatafuta mbinu za kutumaliza kisaikolojia, ili tuwaachie kina Khantwe. Nimeshtuka.
Nishaumwa sana. Bed sheets zangu za high school zina ramani za kutosha za ngiri. Nishatumia sana barafu asubuhi kupoza makali ya ngiri-wood. I'm safe.
Hahahahaaa nishaumwa sana ngiri, kule kwetu kuna baridi sana, mbaya zaidi kuna siku nimeshikwa ba ngiri huku nikiwa nafanya mtihani wa Taifa form2😉
hhaha basi kwa njia hiyo they have failed... watafute gia zingine tu!!! btw hicho kingekuwa kipimo cha urijali nadhani 99% ya wanaume wangekua fit
Dah! *logs out*Teh teh kijana hata bila vitisho mimi ni saizi ya baba zako lol
Hii inawapata wanaume tu, pumbu zinakuwa zinauma sana kwa ndani as if misuli imekaza! Unakuta mwanaume analia km mtoto mdogo
Cc Khantwe
Uwiiii duh kweli sasa ikikupata ndio upo sehemu mbaya inakuaje?